
“Ehee, nikataka kujua zaidi mwamba wngu alikuja na swaga gani… Aisee alikuwa analalamika kila siku, akawa anakuja ananiambia kuwa akilala mwenyewe anakuona, na anateseka sana, ila ubaya ulishaapa kuwa hautakaa uolewe na mjeda, hilo neno lilikuwa linamchanganya sana, ila ukweli ni kuwa bro anakupenda sana, akaendelea kusema mdogo wake… “Sasa ilikuwaje mpaka baba yake akakubali kumsaidia, mpaka nikajua kuwa naolewa na mzee? Ikabidi na mimi niulize sasa… “Nadhan alivyokuwa analalamika sana mzee atakuwa anamuonea huruma akaamua kujivisha mabomu, na kingine mzee yupo karibu sana na bro kuliko mimi, si unaona wameshachukuana wanaenda kupanga mipango yao, huenda hata vitu vingine watakuwa
0 Comments