MCHEZA CHURA Sehemu ya 1 na 2

MCHEZA CHURA Sehemu ya 1 na 2

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Ilikuwa ni asubuh na mapema. Niliamshwa na sauti ya mke wangu kipenzi mairah. Ahaaaa mke wangu kipenzi. Mairah ni mwanamke nnaye mpenda sana katika maisha yangu yani uyu mwanamke nampenda sana . Sio mimi tu nampenda uyu mwanamke ata yeye ananipenda sana .yani mno. Ni mwanamke ambae nimezaa nae binti mmoja. Na mpaka sasa ana miaka 5. Na sio kuzaa nae tu. Piah tunategemea mtoto mwengine. Mana mairah kwa sasa ni mjamzito . Basi niliamshwa na mabusu jamani sio powa .yani mabusu tu. Aseee siwafichi mimi nampenda sana mke wangu. Ila mke wangu kazidi ananipenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments