MCHEZA CHURA Sehemu ya 3 na 4

MCHEZA CHURA Sehemu ya 3 na 4

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Basi nikawa busy na kazi zangu kweli kweli. Na mida ya mchana .nikashika simu nikakuta mke wangu kanitumia sms.kaandika mume wangu usisahau kupata chakura cha mchana .wooow.mke wangu bwana anajua mahaba wallah. Basi nikamjibu .nikamwambia nakumbuka kipenzi chamgu na ntakula. Na mda uo uo.ndo nikawa naletewa chakura sasa. Basi nikapokea .kisha nikaanza kula uku nikichati na mke wangu. Anajua kabisa huu mda mume wake nakuwa free kidogo. So lazima atanitumia sms na tutachati sana. Na jioni baada ya kazi zote..mm sinaga kona kona kabisa ata washikaji zangu wanananijua. Na wanaelewa sana kuwa mimi nikitoka kazini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments