
1. Wanaume wengi wamejikuta wakiingia katika kumi na nane za wanawake na kujikuta wakinaswa na mitego ya wanawake. 2. Mwanamke unapoingia naye kwenye mahusiano Hasa ha kimapenzi lazima akuchezee mind games(michezo ya akili) kama sehemu ya mitego ya kukunasa. 3. Wanaume wengi wamejikuta wakifeli mapema Kabisa. Na hapo ndio wanawake huwashinda akili wanaume wengi na kuwatawala. 4. Mwanamke akishakuchezea mind games ukafeli huwezi kumtawala tena. Yeye ndiye anakutawala. Wewe ni kirunguyeye tuu Mdogo mwenye miiba lakini huwezi kuitumia kama silaha. 5. Moja ya dalili mwanamke amekushinda kwenye Mind games na unatawaliwa na mkeo au mwanamke, ni kama pamoja na na
0 Comments