
Vero WA Lissa Mwalla: 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐 Mwandishi:lissa mwalla Uwii niligeuka mama anakuja wangu wangu, nikaamka nikasema nikajipa nguvu nikashika simu nikampigia p, huku nakimbia, p akapokea nikasema muandae wa boda boda mama ananifata anakimbia, p akasema uko wapi nikasema nakaribia begi zito akasema sawa, nilikaza mwendo hata sijui nguvu zilitoka wapi mama naona alichoka akawa anakuja anatembea haraka haraka nasema kama mm n mamako kweli simama nakwambia, anahema huyo, nikasema nisamehe mama siwez simama niliongea kimoyomoyo. Nilifika kwenye miti ile nikakuta p na boda wapo pale nikapokelewa beg bdo mama tunamuona kwenye mwanga anakuja kachoka nikapanda boda nikwa katikati p nyuma
0 Comments