MILELE Sehemu ya 16

MILELE Sehemu ya 16

Mwandishi:lissa mwalla Leo nachinja mtu, mm nikasema mama naomba niseme mama, hayupo huku alikuja ameondoka leo kwenda dar na magari ya hakuna kulaka jioni kule uyole ndiko tulilala, mama akasema unanidanganya eeh? Utaniambia mbona alinipa kichapo mnoo mpkaa sasa hata kupumua nikawa napumua kwa shida, mama aliendelea kunipiga huku akasema Malaya ww unataka niharibia mtoto?bella ataiga nn kwako ww makaya unalala hovyo na wanaume aa masafa marefu utakosa ukimwi hapo ww na magonjaa ya zinaa? Sitakinuwe karibu na mwanangu bella nikikuona ane nakuchinja. Najuta kukuzaa mm. Ww unataka nidhalilisha? Mbwa ww mm sidhaliliki nakwambia nitakuua kabla sijadhalilika, maneno ya mama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments