
Mwandishi:lissa mwalla Moyo wangu ulikipuka kwa furaha, yani alikua amependeza huyo ananukia mzuri huyu kaka, lkn nikakumbuka matukik yake nikakunja uso hasira zikanijaa nikamuangalia juu hadi chini nikasonya. Yy aliniangalia tu kisha akaenda kukaa, sasa alipokaa ni siti yangu pia jmn, nitafanyaje? Nilipiga hesabu kuna mdada alikua mbele ya sit yetu anamitatuu hivi mipete kipini nacho sikio katoboa sijui mara kumi amevaa kikaptula na kitop kifup yn nikasema yees huyu time ya mjini, nikamfata nikasema dada samahani mkaka aliekaa hapo nyuma anaomba kukaa nawe, akageuka mana nilinong'ona akasema poa dia, akanikonyeza mm nikacheka, akanyanyuka akenda kukaa. Nikaskia anasalimia mambo, p
0 Comments