MILELE Sehemu ya 27

MILELE Sehemu ya 27

Mwandishi:lissa mwalla Sikuamin maskio yangu maneno haya nayaskia toka kwa mwanaume niliempenda sana, nilieugua mpaka kichaa sababu ya kukosa uwepo wake, nilie na makovu mikononi mwangu sababu ya kutaka kujiua nife nae, niliekaa miaka kibao nikiomboleza kifo chake leo ananilaani? Machozi yalinimwagika kama mvua, nilijikuta nimemsogelea nilimzabua vibao vinne mfululizo, nilimkwida nikasema unasemaje ww? Nilimpiga kibao kingine nikasema hikii ni kwa ajili ya mm kukulilia nikidhani umekufa, nikamzaba kingine nikasema hiki ni kwa kuamin ulinipenda lkn kumbe hakuna kitu ww ni mshenzi kuliko washenzi wote duniani unajua nn sikupendi pia sikutakii sikuhitaji maishani mwangu,na na bora ungekua umekufa ningebaki kuomboleza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments