MILELE Sehemu ya 30

MILELE Sehemu ya 30

Mwandishi:lissa mwalla Nilistuka na kujitoa mwilini mwake, ethan akanishika akasema nn bby? Kuna nn?mmh ni ethan tena uwiii, Nikasema najiskia kwenda chooni, akasema okay bby twende, nikashuka kitandani akanisindikiza hadi kwenye mlango wa choo mana ni humo humo ndani akasema nakusubir moenzi wangu,nikasema sawa,niliingia huku nikiwa na mawazo mengi,nilihisi kabisa nafanya usaliti nafsi yangu ilikua inanisuta et,nikakumbuka ahadi za mm na p,mapenzi yetu yote yale sa ivi kweli niko na mtu mwingine mm?machozi yalinitoka,nikawaza lkn alinikataa,hata kama hana kumbukumbu alipaswa kuniskiliza mm,na mbona yy ana wanawake tena kila siku moya kumbe?na mm nay y haiwezekani tena mana tushaambiana maneno magumu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments