
Mwandishi:lissa mwalla Nilistuka, huyu alikua hakumbuki mbona? Kwa io akili zimemrudia sasa eeh, nikasema naona umekumbuka sasa,si ndio? Lkn ktk kumbukumbu zako hiv umesahau kuwa ulinikana na kunitukana ww ulisema hunipendi mimi kamwe huwez nipenda na unamuoa esta sio ww? P naomba niachie sina kwa kwenda kokote na ww, umenikuta hapa na rafiki wangu angu hivo niache, akasema hivi unajua kiasi gan nimekutafuta ww? Ina mana leo ndio unajua kuwa mm nimerejewa na kumbukumbu kweli? Ina mana rafiki ako zeta hakukuambia jinsi gn nakutafuta?nimemfuata yy mara nyingi Hakutaka niambia kitu nilienda hadi mbeya kwenu kwa zamani nikaambiwa mlihama kitambo mpo
0 Comments