MILELE Sehemu ya 33

MILELE Sehemu ya 33

Mwandishi:lissa mwalla Nilitetemeka, p akasimama akasema oyaa unataka kufanya nn sasa? Kisu cha nn sasa? Ethan alimvamia p akataka mchoma kile kisu, p alimuwah akandaka akasema sitak ugomvi na ww acha hii sa unafkir ukiniua ndio utampata huyu mwanamke?ethan alimponyoja akampiga ngup p,p akaanguka ethan akaomota kisu akamuwekeamp shingoni kisha akasema ulisema natakiwa ondoa mbegu hivo ndivo navotaka kufanya,wee amkate nani?nilisogea pale ethn pliz naomba toa kisu chako hapo,naomba usifanye hivo tafadhar,ethan akawa hata haniskilizi aligandamiza shingon kwa p kile kisu nikaanza kuona dam uwiiii ethan achaa nakuomba ethan unamuuza pliz unamuumiza,nililia,p akawa anataka kuamka ethan alimpiga ngumu ya tumbo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments