SEASON TWO MMMH JERRY UTAICHANA SASA JAMAN 24 to 26

SEASON TWO MMMH JERRY UTAICHANA SASA JAMAN 24 to 26

24&25 Nilipitiliza chumbani kwangu nikafungua material ili nisome lkn mudi ilikata kitambo sana Aah aibu gani hii kupigana chuoni kuachw ana kudhalilishwa nitaweka wapi uso wangu mimi 😭😭 Nilikuwa na huzuni sana alafu sasa kibaya zaidi huo mtihani kwa kesho ni balaaa Ni mgumi balaa lecture mwenyewe ni complicator wa hatari Aah nilifunua yale makaratasi kwa kujilazimiaha walau nisome chochote ila basi tena hakuna kitu kilipanda kichwani Eeeh liwalo na liwe nilivuta shuka huyooo nikalala zangu niliona kabisa hii ni Saplimentary naenda kuifanya hahhaha Basi usiku usingizi nao ukagoma basi nilivuta simu yangu na kumchek Jerry Kumbuka kuke chuoni alinipa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments