MILELE Sehemu ya 35

MILELE Sehemu ya 35

Mwandishi:lissa mwalla Mungu wangu ni nani? Mwanga ukitokea ndani, mara nikaskia we bria unaenda wapi? Ilikua saut ya mama, nilimtizama nilishindwa kuondoka, akanisogelea akanikumbatia akasema nenda ukawwme na furaha mwanangu, nilishangaa, nikasema mama ethan n mtu hatar naogopa sana juu yenu, akasema usijal hatutopokea hata sh 10 yake na pesa zake zote tunazo alizotupq za sherehe. Nenda nitatatuta njia ya kukupata ww usitutafute. Akanibusu. Nilitoka moja kwa moja sikuogopa wala, nilijiuliza mama anajuaje yote haya? Anaongea kama anamjuw ethan kabisa, nitajua mbele.nklitembea mpaka kanisa la roma, lkn kabla sijafika nikaskia mlio wa pikpik nilitaka kujificha lkn ikishanifikia na hata taa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments