MILELE Sehemu ya 36

MILELE Sehemu ya 36

Mwandishi:lissa mwalla Nilistuka, nusu nizimie, mama mkwe akasema heee we mchawi unafanya nn hapa kama mwanangu? akinitizama akanipandisha na kunishusha, Mm nilikua kimya tu nawatizama nimepigwa butwaa hatar, hapo nawaza sijui nikaribishe au nifanye nn huyu ethan huyu inakuaje?iwaje yupo na mama mkwe hiv? Nilijiwazia Mama mkwe akasema hivi ndio ulivofundwa huko kwenu mbeya kuwa wageni wakija usimame katikati ya mlangoni kama kamasi kubwa puani si ndio?mm ni mamake na mwanangu ebu pisha mlangoni huko, nilisogea pembn mama mkwe akasema twende bby, 😳😳ethan n bby wake ina mana au? Nilishangaa Sana. Waliingia ndani wakakaa sebln, ethan alikua kimya tu, mm

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments