MIMBA YA MJEDA 1 - - - - - - 5

MIMBA YA MJEDA 1 - - - - - - 5

SEHEMU YA 1 Mimi naitwa Reila Nina miaka 16 nipo kidato cha tatu nasoma shule iitwayo The Brightest iliyopo mkoani Kilimanjaro Mimi natoka kweny familia yenye Hali ya uchumi wa chini ila sio sana maaan baadhi ya mahitaji mamdogo madogo hayakosekani. Kama mnavyojua maisha ya shule huwa watu na marafiki zao wale marafiki wa kindaki ndaki Yan marafiki ndugu ndo Mimi na uyo shoga angu aitwaye Julieth. Sisi urafiki wetu ulijengwa Toka tunaanza form one hivyo tumezoeana na siku zote izo tunajuana sikuwai kwenda kwao hata siku moja ila yeye alikuwa akipajua kwetu na huwa alikuwa anakuja kusalimia ambapo ikamfanya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments