MMH JERRY UTAICHANA SASA JAMANI SEHEMU YA 37&38

MMH JERRY UTAICHANA SASA JAMANI   SEHEMU YA 37&38

Nawezaje kukukataa jerry you are such a beautiful soul I ever met, wewe ni mtu na nusu na kama nikikukataa bas ujue am not mentally health …. Niliongea maneno kuntu yaliyouvuruga moyo wa Jericco alinivuta kwake na kunipatia zawadi ya kiss kubwaaaaaaaaa Hahahahaa Jmn Niky na zarina walifurah sana tukafinga cheers ya nguvu 😂😂😂 that moment ilikuwa hot sana yaan nilijikuta nahama ulimwengu wetu nahamia ulimwengu wa france 😂😂😂 Basi hapohapo simu Ya Nicky ikaita , ooh mama amefika alisema Nicky Na kweli alipoonea simu mama yake alismea kuwa tuko nyumbani na anataka kuonana nae Basi tulinalzia kula kama kawaida

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments