
Tulianza kunywa chai lkn zarina na munewe walikuwa hawajaja Basi naona Rispa na aisha wanangaliana huku wakikonyezana sikujali hilo ila nilimuona Jerry akiwa hayuko confortable kabisa Basi dakika chake zarina na mumewe walikuja Haa kumbe kuna. Wanaume wawili humu Aliropoka aisha ni kama alichaanganyikiwa baadaa ya kumuona Nicky 🙄🙄 “Dada kwani nini , mbonaa uko faster hivo heee kwenu hakuna wanaume ? Mana naona aunapaarika tu ….zarina alivunja ukimya abaada ya kuona huyu asiha haachi shobo kwa mme wake Utajiju hapa nimekuja kwa mdogo angu Vaana siyo kwako alijibu aisha kwa jeuri na kiburi sana Sijui anaringia nn huyu binti
0 Comments