MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7

MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7

" Ni jani hili ama hua hakika, japo silifahamu ila limenivutia "nilizungumza kisha nikaondoka nikiwa na hilo ua mkononi mwangu. " Ni marufuku kwa kijakazi ama mkazi wa ikulu kuchuma chochote ndani ya jengo hili, mali zote ni za mfalme wa himaya hii " nilisikia sauti ukingoni mwangu ikizungumza. Ile kugeuka., si ndo kumuona mlinzi kauzu, wacha nianze kutimua mbio ..... " Naona bahati haipo upande wangu " nilizungumza huku nikisimama nikikodoa kwa aibu pale nilipogundua nimezungukwa na watu ambao naweza sema majemedari wa zamani enzi hizo...vile nilikuwa sielewi nikaamua nitulie kusomewa mashtaka. " Ni vema kama utanifuata kwa hiari

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments