MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 19 - 20

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  SEHEMU YA 19 - 20

Nikamuonesha mume wangu ile sms akaanza kucheka, kisha akasema “Huyu itakuwa anaota, embu twende akatupeleke kwa huyo mzee… “Na vipi kuhusu mtoto, maana simuamin sana shangazi yangu, nataman asijue kama nimejifungua… Mama yangu atakuja kukaa nae, na hapo mtoto alikuwa ana miezi kama nane, kweli mama yake akaja kukaa na mtoto wangu tukaenda mpaka nyumban kwa shangazi, tukamkuta amedhohofika sana, mpaka alikuwa anatia huruma… “Shangazi tumekuja kukusalimia na utupe habari za Yule mzee anataka arudishiwe mahari shilling ngapi, na gharama zake? Nikauliza… Namna shangazi yangu alivyomuigizaji akaanza kulia kisha akasema “Sikutegemea kama mngekuja, mzee ame kuja kunisumbua sana, si unaona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments