MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 16

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  SEHEMU YA 16

“Sikuwa najua kama nilikuwa sikuridhi…kabla hajamaliza nikaanza kumkiss, akawa kama hataki, najuaga udhaifu wake, nikataja jina lake kwa ile sauti ya kutolea nyoka pangoni, aisee akanisogelea na kuanza mashambulizi yeye, siku hio sikutaka hata ahangaike, nikamfunga mikono na miguu.. Sijui alijua nataka kumteka, maana ni kama hakuwa ananiamin amin, maana mambo hayo yalikuwa mageni sana kwake, ila ni kweli nilikuwa nataka kumteka, ila nilikuwa nataka kumteka kwenye huba langu… Kuanzia nimemjua mume wangu sikuwah kumuona anapiga kelele kiasi kile, alikuwa kama amepagawa kwa raha ambazo alikuwa anazipata, alikuwa analia kama mtoto mdogo kwa utamu, siku hio nilitaka mimi ndio nianzishe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments