
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangazi, sisi ni ma aunt rich, ikabidi wolper aulize kwani kuna tofauti kati ya aunt rich na mshangazi, Irene Uwoya akajibu ndio tofauti ipo kubwa siunaona sisi tulivyo vimbau mbau Aunty ezekiel akajibu kuwa unajua ili watu wakuite mshangazi muda mwingine huwa wanaangalia mtu unae mdate, Wolper akauliza kwani wewe Auntyezekiel una miaka mingapi na Kusah nae ana miaka mingapi, Auntyezekiel akajibu mimi kwa sasa hivi sitamani hata kujua kusah ana miaka mingapi na wala mimi nina miaka mingapi mimi ninacho jua
0 Comments