FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10

FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10

SONGA NAYO...... Nilimungalia Sana Betty uku nikijiuliza amesikia au maana Betty alikuwa Kama anafurahia ile kazi ya mule ndani na alikuwa na chuki sana tangu nimefika maana nilimpita kila kitu hivyo ilikuwa Ni bifu bifu, nikamshika mkono Sabrina na kutoka nae nje lakini Betty akasema "Mmmmh tuone hiyo Siri Kama itadumu " Hapo nilijua kabisa Betty amejua ukweli nilipata wasiwasi sana, nikamuomba Benny akae na Sabrina ili nikamuhudumie, alikuwa Ni Chris mteja wangu maarufu kabisa kijana mdogo mwenye pesa za kutosha, na tangu nifike hakuwai kubadili msichana Zaidi yangu. "Chris naomba hivi kwanini kila siku unakuja kwaajili yangu kwanini usichague

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments