MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 10

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 10

Nikaanza kukaguwa lile brufcase, nikakuta kuna barua nyingi sana alikuwa ananiandikia mimi na nyingine anaandikia familia yake, na picha zangu nyingi kuanzia za utotoni, na namna anavyosaidia familia yake kwa siri sana, na mimi alishawah kumbe kumsaidia mama yangu… Mama alikuwa na uzito kupitiliza, akaambiwa sijui amino acid imezidi mwilini, maana miguu ilikuwa inamuuma mpaka anashindwa kutembea, mwanzo hospital walituambia matibabu ni laki mbili na nusu, ila ghafla tu wakasema tumepata mdhamin hivyo tutatibiwa bure, tulitaman sana kumjua huyo mdhamini ila hatukuwah kufanikiwa kumfahamu hata mara moja… Na hata nyumban kwao kumeanzishwa ujenzi na kuna uvumi ulikuwa unaenea kuwa, kuna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments