
Basi bana shughuli ikaendelea na alipo maliza akanigeukia na kusema “ nakupenda sana zinura, hakika wewe ndio nuru ya maisha na roho yangu, nakuomba sana uwe mvumilivu na usimuambie yoyote ulichokigundua kisha akaondoka zake… Nilijisikia vziuri sana na kuiona ile hadithi yangu ya mapenzi ambayo nimeianzisha kuwa inaelekea kwenye nafasi nzuri sana, sikuwah kufikiria hata mara moja kama lile penzi langu lililoanzia kwenye utoto wangu kuwa nitakuwa nalo na litatimia siku moja… Nilikuwa nahisi naota ndoto ambayo sikuwa nataman hata kuamka kwa kweli, nilikuwa nataman kuendelea kuishi kwenye ndoto hio siku zote za maisha yangu… Basi omari au nabil hakuwa
0 Comments