BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 12 ENDELEA........

BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 12  ENDELEA........

Mama aliongea kwa uchungu mpaka alilia. Sony alipotaka kumuomba mama msamaha mama hakumpa nafasi hiyo aliondoka. "Weww na Sony mna fahamiana?" Nilimuuliza Iron maana nilishangaa mbona Sony amenywea sana mbele ya Iron na namjua fika ana wivu kupita kiasi. "Yeah tunafahamiana ni mtu wangu wa karibu" "Kivipi?" "Ebu malizia kula kwanza mama" Ilibidi niwe mpole. Baada ya kumaliza kula. Iron aliniomba nipumzike yeye alitoka nje ya wodi. "Sijui naanzia wapi kumuambia". Mama aliongea. "Haina haja ya kuwaza sana mama. Nice ni mtu mzima nafikili anaelewa kuwa mimba imetoka ila anahitaji uhakika tu". Iron alikuwa sahihi. Nilifahamu vizuri kuwa mimba imeharibika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments