MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 16

MY TRUE LOVE STORY  SEHEMU YA 16

Mama yake akamfata na kuanza kuongea nae, ila ni kama nabil hakuwa anajali kabisa, ikabidi mama yake amuache, ila pia shenaiza hakuwa anajisikia vizuri, yaan mbele ya mashoga zake kabisa, mwanaume anaonesha hana muda nae na anamuda zaidi na dada wa kazi, akawa anapakwa hina huku kanuna huyo, ila mimi sasa nilikuwa najiona kama malkia vile, nikawa natabasamu kila dakika kama nimeona bia za offer.. Basi nabil akafanya shughuli zake, na siku hio hata hakujali mtu, nadhan aliamua kufata moyo wake, akawa anakaa na mimi sana, anapiga story na mimi sana, na hata kulala hakutaka kuaminisha watu kuwa analalaga na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments