Brazil.. Alitamani awe mcheza mpira lakini chaajabu kugusa mpira jamaa hawezi kabisa. Carlos

Brazil.. Alitamani awe mcheza mpira lakini chaajabu kugusa mpira jamaa hawezi kabisa. Carlos

Carlos alikuwa kijana aliyejua vizuri sana mazingira ya Brazil.. Alitamani awe mcheza mpira lakini chaajabu kugusa mpira jamaa hawezi kabisa. Alichokifanya ni kuanza kutengeneza urafiki na wachezaji wa Brazil wa miaka ya 80 na 90. Alikuwa anawapeleka kwenye klabu za starehe, anawasaidia mambo yao binafsi, na akawa rafiki yao wa karibu. Wale mastaa, walipokuwa wanasajiliwa na klabu mpya, walikuwa wanawaambia makocha Kuna kijana mmoja fundi sana anaitwa Carlos Kaiser, mpeni mkataba wa majaribio wa miezi mitatu, atawasaidia. Kwa heshima ya wale mastaa, makocha walikuwa wanamsajili bila hata kumfanyia majaribio magumu. Siri ya Kaiser ilikuwa ni kuhakikisha hachezi mechi hata moja,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments