MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6

Basi baada ya mambo kumalizika, sio siri nilikuwa najisikia vizuri sana, ingawa najua sikupaswa kutembea na boss wangu, tumemaliz akaniangalia kisha akaanza kuniomba msamaha, akaingia chumban kwake akatoka na p2 akataka nimeze, sikukataa kwa sababu pia sikutaka kubeba mimba zisizotarajiwa hata kidogo… Baada ya hapo akataka kuondoka pale chumban, ila nilitaman sana kuongea nae, alisema yeye ni omari, zile ni akili za hisia au alikuwa ana maanisha, au alisema hilo jina kwa sababu nilimsimulia kuhusu mimi na omari… Nikaita omari, akatabasamu, kisha akanambia “ umeschanganikiwa eee, au ndio umeshammiss mwanaume wako?.. “ ulinambia nikuite omari kumbuka, nambie wewe ndio omari?

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments