MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5

Mapigo yangu yakaanza kwenda mbio, lile giza giza la pale likaanza kuleta tasiwra ya omari wangu wa kweli ambae hajaanza kutakata kwa pesa, Yule omari ambae ngozi yake ilikuwa imefubaa kutokana na kushinda kulima mashamnba ya vibarua huko unguuni ambapo ndio alikuwa anaishi.. Omari ambae kupaka mafuta ilikuwa kama sherehe au kitu kikubwa sana kwake, na siku akipata mafuta mazuri kidogo lazima atakuja kunisimulia kuwa amepaka mafuta ya tofauti na atataka nisikie harufu yake, machozi ndio yalizidi kunitoka kila alipopiga hatua moja na kukaribia kunifikia… “ mbona unalia? Aliniuliza baada ya kufika karibu yangu.. Niliskosa cha kumjibu na badala yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments