
Mwandishi;lissa mwalla Mmh bby wangu kapatwa na nini?sio kawaida yake kutokuepo nyumbn na kutoniaga,lkn mbona kabadilika siku hizi au kweli ana mtu?nilijiwazia sana nikaona ngoja nisubiri nione kama atarudi.maneno ya mama yalikua yanajirudia rudia kichwani hivi kweli aliongea na mwanamke?na kaenda kwa mwanamke?mmh jmn mkosi gani huu na je kweli kaniita sura mbaya mimi?lkn mbona kanipeleka kwao na kwao wamenifurahia tu?na Yule mama ni mama yake mana wamefanana pia kanionesha picha za preston za toka utoto kwamba nimedanganywa jamanai?hapana sijadanganywa .nikiwa na mawazo preston akanipigia simu,nikaiangalia huku najiuliza nipokee au nisipokee?wivu ulikua umeshanijaa.nikaona wacha nipokee kwanza nimskilize.nikapokea akasema my love
0 Comments