
Mwandishi;lissa mwalla Nikasema mama ndio huyu mpenzi wangu anaitwa preston peter mama mbona unauliza sana?akasema mmh hapana nimefurahi kumuona.nikasema ahaa vizuri.nikasema bby huyu nae ni mdogo angu anaitwa nora na huyu ni mwanae.bby akasema karibu shem.nora akasema asante akatabasamu.niliwaonesha vymba mana nyumba niliopewa na ofisi ina vyumba vya kulala vitatu.nikawaambia waoge kisha waje kula mama akasema sasa mwanangu nitaoga nitavaa nini manguo yangu ni ya ovyo hata huyo mpenzi wako atashangaa nguo zangu.nikasema nakuletea mama.akasema sawa akasema na nora nae ,nikasema mama eeh zipo za kwako tu hapa nora ataangaliziwa madukani.mama akasema sawa.nikaenda chumbani kwangu nikamchukulia dela langu jipya nikampelekea
0 Comments