
Mwandishi;lissa mwalla Nilinyata nikiwaza bibi alikua huyu na tulizika kabisa imekuaje yupo hapa muda huu? Hapana nikafika seblen hakukuanna mtu mmh nikastuka nikashangaa nakurupuka kitandani natoka jasho, mmh baba milka akasema nini bbu nimekuona unagugumia usingizini nini kimekupata mama Milka? Nikasema nimeota ndoto nimemuota bibi amekuja eti na ilikua mchana. Baba milka akasema pole ulimuwaza nini akaona apite kukusalimia?nikacheka Nikasema unanichekesha labda kweli alikuja kunisalimia mana nimemuwaza sana marehemu bibi yangu. Niliwaza kama ni ndoto mbona napata hisia kama Kweli? Na je lile pagala Tuliloenda nyuma kule hivi ni kweli. Mmmmhm nii ndoto tu lkn mbn kama ukwli?baba milka akasema
0 Comments