
Mwandishi;lissa mwalla Nilichanganyikiwa mnoo, inamaana alijifanya mwema ili aibe mwanangu uwii mimi nifanyaje? Nianze kwenda iringa au wapi? Ngoja nimpikie mamake kwanza mshenzi huyu hawezi nichezea akili yangu. Nikampigia mama mkwe, akapokea akasema nilikua nakuwaza hapa sasa ivi na wewe unapiga, mwenzio kaondoka hapa sio muda sana na watoto. Nilishusha pumzi nikasema alikua huko? Akasema ndio alikua huko. Nikashusha pumzi mama akasema vip kwani hakukuaga? Nikasema hakuniaga hivi nilikua na wasiwasi sana. Akasema basi alijisahau na kaja huku simu yake imezima chaji na chaja aliiacha iliopo haziingiliani, nikasema ahaa sawa mama. Akasema neria mwanangu ivi unamuona baba watoto wako yupo
0 Comments