NERIA Sehemu ya 29

NERIA Sehemu ya 29

Mwandishi;lissa mwalla nilihisi hasira na kichefuchefu kwa wakati mmoja,aliendelea kusimulia nikajikuna nasema noo stoop stoop nilisimama nikaedna dirishani huku nalia familia gani hii nilionayo mimi?au ananidanganya huyu?nikasema preston muogope Mungu muogope Mungu jamnii nini unaniambia na unauhakika na hayo jamani?nililia sana.akanifata na kunikumbatia,akasema siwezi kukudanganya,nilikua natamani sana kukuambia na ndio mana nilikua sishindi nyumbn na ulikua unaniuliza kwa nini sina raha sababu ilikua ni hio ww ni mwanamke ninaekupenda kwa dhati neria ni ngumu kwangu kukuangalia usoni na kukua mbia niko powa na wakati siko powa kabisa nakusaliti bila kupenda.nakupenda sana nilikua naumia sana nilitamani kuondoka lkn ungeniwazia vibaya zaidi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments