NERIA Sehemu ya 30

NERIA Sehemu ya 30

🌦️🌦️🌦️🌦️ Mwandishi;lissa mwalla Tuliangaliana kwanza ikabidi tucheke tena kwa nguvu huku tumeziba pua. Baba milka akasema huyu mwanamke ni kichaa 😅😅iv kuna haja ya kuangalia tena ndani zaidi? Tuondoke mke wangu.mm nikasema hapana tujikaze tu tuangalie hadi ndani vymbn na jikoni tujue huyu kichaa kafanya uhatibifu kiasi gani.akakubali Tulienda jikoni sasa masufuria mazur alichukua nadhani mana hayakuepo na vyombo ila vya kawaida alinyea navo jiko alichomoa la umeme kubwa makabati ya jikoni yamevunjwa vunjwa hayafai tukaenda chumbn godoro halikuepo ila nguo za baba milka zimechanwa chanwa hovyohovyo zote na kufutiwa mimavi looo. Baba milka akasema huyu mwanamke amechoka kuroga usiku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments