
Sehemu ya tisa. 👉 Aya Leo nipo upande wenu wanawake Sikiliza....👇 MWANAMKE NI MUHIMU KUKIJUA HICHI KITU KITAKUPA AMANI KATIKA NDOA YAKO* Dada unapolalamika kuwa mumeo kabadilika, tafadhali isiwe ni kwakua hajibu meseji zako au hachat tena na wewe. Kama anakupigia simu, mnaongea basi inatosha, ni wanaume wachache sana ambao wanaweza kukaa na kuhjibu SMS, yaani hasa zile meseji za, "unafanya nini, "umekula, "ulifanya hiki, "ushatoka kazini, " ushafanya nini? Unapomuona mwanaume yuko online anaweza kuwa anachat kwenye magroup lakini kuchat na wewe ikawa ngumu sana! Yes najua kuwa meseji kwa wanawake wengi ni kitu kikubwa sana, kinaongeza msisimko kwenye
0 Comments