
. 👉 wote tukaitika sawa...👇 ( Jogoo akaanza) " Upo kwenye mahusiano na mtu anayevunja ndoto na furaha yako taratibu. Mtu wa aina hii anakufanya uanze kuyaona maisha kama hayana thamani. Kila siku unajikuta unajitetea, ukijieleza kwa mambo ambayo hukuyafanya, kwa sababu makosa yake hugeuzwa kuwa lawama zako. Inafika hatua unaanza kujiuliza: “Labda mimi nina mapungufu nisiyoyajua?” Ni kweli, hakuna mwanadamu mkamilifu. Lakini kuna watu wengi wenye tabia ya kuwafanya wenza wao waonekane wakosaji ili kuficha makosa yao wenyewe. Na wanapogundua umejitoa kwa dhati, ndipo wanazidisha zaidi tabia hiyo. Matokeo yake ni haya: Unaishi ukiwa na hasira kila wakati Moyo
0 Comments