
Sehemu ya 13. 👉 Haloo mke wangu bagamoyo umefata nini?....👇 " Nimekuja kuwaona wazazi wa maryamu nipo na maryamu mbona hapa. " Mpe simu nionge nae. ( Akanipa simu) " Shikamoo baba. " Marhaba aujambo. " Sijambo. " Mpe simu mama yako. ( Nikampa simu akamwambia) " Watu wabaya sana nimepigiwa simu unaonekana unaingia gest. " Jamani na umri huu hao wagombanishi mume wangu. " Aya Sawa baadae. " Nani kakwambia. " Yameisha ayo mke wangu. ( alikata simu uku anasema) " Dunia aina siri kumbe nimeonekana naingia hapa. " Ila aliyesema ni mgombanishi tufanye turudi. " Sawa mwanangu. (
0 Comments