NILIOLEWA NA WIFI YANGU KWA SIRI HADI TUKAPATA MTOTO😳😳 01.

NILIOLEWA  NA WIFI YANGU KWA SIRI HADI TUKAPATA MTOTO😳😳 01.

Ilikuwa kawaida kila kukumbatiana na kupeana makiss😘 ya mdomo na Wifi yangu Amaira kila alipokuwa akirudi nchini kutokea Marekani ambapo alikuwa akisomea biashara. Hali hiyo ya Amaira kunipiga mabusu ya mdomoni mwanzo niliichukulia tu kama upendo lakini awafu fulani alipokuja alinishangaza kidogo😳 Nilikuwa Nimekaa ndani nikasikia mngurumo wa pikipiki nje, nilipochungulia dirishani, nililipukwa na furaha pamoja na vigelegele baada ya kumuona wifi yangu Amaira. "Waooooooo😁 jamani my wiiiiiiii" Nilipiga kelele za furaha huku Nilitoka nje na kumkumbatia wifi yangu, kisha akamlipa bodaboda pesa yake, na hapo tukaelekea ndani huku tukiwa tumeshikana viuno🥰. "Mh nimekumiss sana wifi yangu Dorca mwaaaa" aliniambia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments