KISA KUMKOMESHA EX NIMEJIKUTA KWENYE MDOMO WA MAMBA 😭

KISA KUMKOMESHA EX NIMEJIKUTA KWENYE MDOMO WA MAMBA 😭

Whatsup +255794440997 https://whatsapp.com/channel/0029VbBj5egGehEVIjTgLr3m MTUNZI; BABY SMILE EP 3. Nakumbuka ilikuwa mida ya saa 12 jioni, apo bado sijamaliza kesi ya nyumbani, mwingine nae kafika na tuhuma, tena kaja na maaskari, cha ajabu anaongea kiswahili vizuli kabisa, akati kwenye ndege alikuwa anaongea lugha zilizokuja na meri 😭, kumbe mbongo, nilikamatwa nikapelekwa jengo moja bovu, kumbe walionikamata sio police, na uyo jamaa ni mtoto wa mafia mkubwa wa huko African kusini, kijana ndo yuko anapikwa kibiashara,na sheria za kundi lao, kiongozi haruhusiwi kuwa na mwanamke, mpaka akifikisha miaka 40 napo haoni ni anazaa tu na mwanamke kwa mkataba ila kupenda marufuku, sasa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments