
Baada ya kubaki na bosi majira hayo ya usikuu tulikuwa tukiendelea na kazi na kazi yangu ilikuwa ni kuprint document na kuziweka kwenye mafile huku bosi akinielekeza baadhi ya vitu ukichukulia mimi ndo mfanyakazi mpya.Tulifanya kazi mpaka kama saa sita hivi nikiwa nimechoka sana na hata bosi kachoka sana .... Hapo ndipo tukachukua chakula ambacho tulikuwa tayari tumeshakinunua na kuanza kukila .Nilikuwa nakula kwa mapozi na aibu jamani maana bosi alikuwa akinitolea sana macho mpka nikawa naangalia chini .Nilimwambia tu kwa sauti ya kawaida " Jamani bosi acha kuniangalia hivi, mwenzako naloose control " Alicheka na kunipiga begani na mimi
0 Comments