JINSI YA KUJIUNGA UPWORK NA KUPATA MTEJA WA KWANZA (HATUA KWA HATUA) – UKWELI KUHUSU KULIPIA

JINSI YA KUJIUNGA UPWORK NA KUPATA MTEJA WA KWANZA (HATUA KWA HATUA) – UKWELI KUHUSU KULIPIA

Kujiunga Upwork ni bure, lakini kuna gharama ya kuomba kazi Watu wengi wakisikia Upwork wanadhani lazima ulipe ili ufungue account, lakini ukweli ni kwamba kujiunga Upwork ni bure kabisa. Unaweza kufungua akaunti, kuweka taarifa zako, na kuanza kutafuta kazi bila kulipa hata shilingi. Kinachowachanganya watu ni kwamba Upwork ina mfumo wa kutumia “Connects” wakati wa kuomba kazi, hivyo watu wanachanganya kujiunga na kulipia kuomba kazi, na ndipo malalamiko mengi yanapoanzia. Connects ni nini na kwanini watu wanasema lazima ulipie Connects ni kama “token” au pointi unazotumia kutuma maombi ya kazi (proposal). Kila unapoituma proposal, Upwork inakata Connects kulingana na aina

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments