
SONGA NAYO.................. Nilistuka Sana baada ya kuona mama amevuja damu nyingi Sana maeneo ya kuchwani Kama binadamu huruma iliniingia haraka nikatoka nje na kuita tax, nilimuomba anisaidie tukampeleka mama hospital lakini pia sikuweza kumuacha kamili nyumbani nilienda nae muda wote alikuwa akilia njaa, ingawa kamili alikuwa na mapungufu yake lakini alikuwa na akili ya kuelewa Mambo kwa wepesi sana. Tulifika hospital akapokelewa haraka na kuanza kupatiwa huduma kwa haraka sana, muda huo huo boy friend wangu ambaye alikuwa akiishi magomeni akanipigia " Mbona simu zangu upokei eeeh ulikuwa wapi ...??" " Ungeacha kwanza ilo gubu lako Niko hospital Jana tulivamiwa
0 Comments