
SONGA NAYO....... Niliagana na baba angu Kisha nikarudi wodini kwa mama, yaani nilikuwa na furaha Sana siku hiyo hata mama alishangaa maana hakuwai kuniona nikiwa na furaha kiasi iko "Mmmmh hili tabasamu lako Ni la kheri kabisa mwanangu sijawai kukuona ukiww hivyo" " Umeanza unatakaga kuniona nikiwa na uzuni muda wote Mungu amtupi mja wake leo nimekutana na baba angu na Yuko na pesa na anafamilia nzuri sana kunakoelekea nitaenda kuishi nao " " Baba yako, na mbona hajaja kutuona Angekuja hata akuone kamili jamani " "Mmmmh ebu acha maigizo baada ya kumuwangia kwa muda mrefu Leo unasema unatamani angekuja
0 Comments