NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5

NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5

SONGA NAYO............. Tuliendelea na sherehe pale sikukumbuka kabisa kuhusu mama angu na nilikuwa na furaha sana, majila ya usiku tulitoka pale na kwenda club na mama angu wa kambo tulikaa kaunta maana ndo uwa tunapenda Sana uwa ofa zinakuja zenyewe, nikiwa nimekaa pale simu yangu iliita Sana na ilikuwa N upi namba ya Julius lakini sikutaka kupokea Zaidi nilizima simu, baada ya kukaa muda kidogo alikuja mababa kwa muonekano tu alionekana kuwa anapesa za kutosha , akatusalimia "Habari zenu warembo....??" Mie na mama yangu Tena tunavyopenda kusifiwa tulijishauwa hatari, na kuanza kumchangamkia Kama tumepata ukichaa. " Aaaaah mnaweza kuungana na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments