
Baada ya muda tulipokuwa tumechoka tuliinuka na kuelekea vyumbani kwetu kulala tulisha kuwa hoi Wakati tunatembea daddy Henry alinishika vizuri mkono kwa nyuma kiunoni nilijihisi vizuri mnoo Tulitembea hadi chumbani kwangu akaniambia haya ingia upumzike sawa Nilimuitikia sawa Akaniambia usiku mwema Nilimuitikia asante nawewe pia kisha niingia chumbani kwangu nae alienda kulala chumbani kwake Nilibadili nguo na kuvaa kinguo cha kulalia kisha nilikaa kitandani nikawa najiuliza hivii kweli daddy Henry hajaona kitu kwangu mbona ananifanyia hivi Liwalo na liwe nitaenda huko huko chumbani kwake hii ni nafasi yangu ya mwisho kumonyesha upendo wangu vinginevyo sitopata tena nafasi kama hii Niliinuka
0 Comments