PENZI LA MUBABA ❣️ 8

PENZI LA MUBABA ❣️ 8

Kisha daddy Henry aliinuka na kuniuliza uko poa Lisa Nilimjibu zaidi ya poa Kisha aliniambia Lisa kwanini tumefikia huku unajua kabisaa jamii haitanielewa wewe ni kama katoto kangu jamani mbona hivi Niliinuka na kupiga magoti kitandani huku nikiwa nimeushika mkono wa Henry na kumuambia daddy kupenda kwani nikosa Daddy Henry alijibu laah sio kosa Nikamuuliza tena kwani mimi sina hisia Alijibu unazo Kisha nilimwambia sasa naomba kuwa wangu niwe wako nakupenda sana mimi sikunyingi nilisha kupokea moyoni mwangu naomba usiende mbali nami kaanami kipenzi changu Henry alijibu ila Lisa kipenzi hakika yoote uliyoniuliza nisawa hata mimi mwenyewe nakupenda sana tuu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments