POSSESSIVE BABY DADY 🔥 10

POSSESSIVE BABY DADY 🔥 10

MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Baada ya kumaliza kula Manisha na yule mwenzie waliongozana na kwenda kupiga debe. " Hivi unaitwa nani vile? " Naitwa Suzy kwa kina maarufu bonge la dada. Ukisema bunge la dada unanipata chapu. Manisha alimuangalia kisha akaachia batasamu maana hiyo bonge la dada sio kweli. Kwanza Suzy alikuwa na pigo za kiume na sura ya baba. " Sawa mimi naitwa Manisha. " Sasa hapo wewe toa hiyo n niite maisha. Waliongea mpaka wakafika sehemu zinazosimamia daladala. Zilifika daladala mbili na kusimama . " Oya abiria shukeni chapu na wenzenu waingie . Alisema Suzy huku akipiga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments