POSSESSIVE BABY DADY 🔥 11

POSSESSIVE BABY DADY 🔥 11

MTUNZI SMILE SHINE. WHATSAPP 0688156169 Ayman aliacha kucheka na kumuangalia na kuuliza. " Unamaana gani kusema afadhali ugali dagaa kuliko pilau nyama vitani? " Huo ni msemo tu. " Lakini huo msemo unamaana. " Tuachane na hayo. "Hivi unafikiri huko stendi ni sehemu salama kwako? Na kwanini hujionei huruma na hiyo hali yako? "Lakini Umeona nimerudi salama na hili tumbo sio mzigo kwangu. " Vipi kama utakutana na wahuni au kitu cha hatari huko kwenye mkusanyiko wa watu ? " Mimi mwenyewe muhuni na Mungu yupo pamoja nanyi maana kila ninapotoka asubuhi namuomba Mungu kwanza. " Kumbuka kila mtu anaomba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments