
. Juhi Chawla ndiyo ulikuwa mwaka wa mwanzo ndani ya Bollywood, hii ndiyo filamu yake ya kwanza na akaja kuendelea na nyingine mwishowe ikawa ni historia aliyoiweka na bado anaiendeleza ndani ya Bollywood. Karan Kapoor ambaye hakutokea kwenye filamu nyingi, akiwepo kwenye hii na Loha na chache zingine. Huyu ni kutoka familia ya Kapoor yenye waigizaji wengi, mtoto wa Shashi Kapoor na mkewe Jennifer ambaye ni mwingereza. Aliachana na uigizaji na amejikita kwenye upigaji picha akiishi Uingereza. Bado ana ukaribu sana na ndugu zake Kunal Kapoor na Sanjana Kapoor, pamoja na binamu yake Randhir na hata wapwa kina Kareena, Karisma
0 Comments